Wapiganaji wa Houthi walizindua makombora ya ballistic dhidi ya Kituo cha Fedha cha Riyadh na Uwanja wa Kimataifa wa King Khalid huko Riyadh Saudia.